Tangazo la kazi umoja wa mataifa – MINUSCA
Umoja wa Mataifa kupitia Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa mataifa umetangaza nafasi ya conduct and Discipline Officer,
Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.
Umoja wa Mataifa kupitia Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa mataifa umetangaza nafasi ya conduct and Discipline Officer,
Waombaji wote wajaze fomu za maombi zinazopatikana kwenye tovuti ya Polisi https://polisi.go.tz/publications/
Kamishna wa Uchunguzi wa Kisayansi, Kamishna wa Polisi Shaban Hiki amewapongeza Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa kwa kazi kubwa wanayoifanya jambo ambalo limeendelea kuifanya Tanzania
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini DCI Ramadhani Kingai leo Oktoba 8, 2024 amefungua Kikao cha Menejimenti ya Taasisi zinazounda UTATU ambazo ni
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SARPCCO), IGP Camillus Wambura, leo Septemba 30, 2024 amefanya mazungumzo na
TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA 1. Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana wote
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura
Umoja wa Mataifa wametangaza nafasi za kazi katika Misheni ya Ulinzi wa Amani nchini Haiti, kazi hizo ni: 1. UN Police Planning Officer P-3 (2024-BINUH-000012-DPPA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya