Umoja wa Mataifa kupitia Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa mataifa umetangaza nafasi ya conduct and Discipline Officer, P -3 Katika Misheni ya Ulinzi wa Amani Nchini Africa ya Kati – MINUSCA kwa maafisa wa Jeshi la Polisi wenye sifa zilizoanishwa katika Tangazo.
Pakua hapa (<<https://polisi.go.tz/publications/>>)