Umoja wa Mataifa umetangaza nafasi ya misheni ya Ulinzi wa Amani nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (MUNUSCO) kwa maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania wenye sifa. Nafasi hiyo ni POLICE REFORM AND RESTRUCTURING COORDINATOR P- 4 (2024- MONUSCO – 78800-DPO)
Bofya hapa kupakua (<< https://polisi.go.tz/publications/>>)