Tangazo la kazi umoja wa mataifa – MINUSCA
Umoja wa Mataifa kupitia Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya
Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.
Tuna lengo la kutoa huduma bora zitakazowezesha kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jeshi la Polisi la Tanzania lilianzishwa rasmi 25 August 1919 kwa tangazo la Serikaliya Kiingereza lililotoka Gazeti la Serikali No.Vol.1 No.21-2583 kwa wakati huo likaitwa Jeshi la Polisi Tanganyika.
Makao Makuu ya Jeshi hilo kulinga na natangazo hilo yalikuwa Wilayani Lushoto Mkoani Tanga chini ya uongozi wa Major S.T Davis.
Umoja wa Mataifa kupitia Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya
Waombaji wote wajaze fomu za maombi zinazopatikana kwenye tovuti ya
Kamishna wa Uchunguzi wa Kisayansi, Kamishna wa Polisi Shaban Hiki
Umiliki, Uingizaji na Upitishaji na Utoaji wa silaha Tanzania
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akikagua gwaride maalumu wakati wa sherehe ya Kuwavalisha Nishani Maofisa, Wakaguzi na Askari wa Vyeo mbalimbali waliopewa Nishani na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan
Amet donec massa mauris Dolor vel nunc quam