Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uganda Herbert Karugaba atembelea banda la Jeshi la Polisi
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uganda Herbert Karugaba akisaini kitabu cha wageni leo Julai 5,2023 alipotembelea banda la Jeshi la Polisi Tanzania katika Maonesho