Naibu Kamishna wa Polisi DCP Henry Mwaibambe akitoa elimu sabasaba 2024
Mkuu wa Ushirikishwaji wa Jamii, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Henry Mwaibambe akitoa elimu kwa Wanafunzi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi leo Julai 11, 2024
Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.
Mkuu wa Ushirikishwaji wa Jamii, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Henry Mwaibambe akitoa elimu kwa Wanafunzi waliotembelea banda la Jeshi la Polisi leo Julai 11, 2024
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Mhandisi Hamad Masauni leo ametembelea maonesho ya Sabasaba ambapo pamoja na mabanda mengine aliweza kutembelea banda la