FAQ
Piga namba ya dharura bure 111 or 112 haraka na utoe maelezo kwa ufupi juu ya tukio hilo
Una haki ya kuwatambua askari kwa vitambulisho, kujua kosa au sababu ya kusimamishwa.
Wasiliana na Akari au kituo cha Polisi karibu nawe au piga simu bure 112 au 112
Wasiliana na Polisi na utafute msaada wa matibabu kama kuna ulazima
Contact the police and seek medical attention if necessary.
Subiri….
Utajaza taarifa zako kwenye mfumo kwa vitu vya kielekroniki kama simu nk, vitambulisho utaweza kupakua na kuprint popote ulipo.
Kwa vitu vya thamani kubwa utalazimuka kufika kwenye kituo kilicho karibu yako kwa msaada zaidi.
Wasiliana na Dawati la jinsia jeshi la polisi katika ktuo kilicho karibu nawe au piga namba zifuatazo +255 787 668 306