Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura akizungumza jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ally Senga Gugu ambaye leo Julai 31,2024 amefanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma.
Katibu Mkuu Ally Senga Gugu amefanya ziara hiyo kwa lengo la kuzungumza na Makamishna, maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi hilo.