Picha mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu inayofanyika katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma Julai 30,2024 ambapo wadau mbalimbali wanashiriki kwa lengo la kuhamasisha jamii kuepukana na biashara hiyo haramu ya binadamu pamoja na kutoa elimu.