Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.

UN JOBS

Tangazo la kazi Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini – UNMISS

Umoja wa Mataifa umetangaza nafasi za kazi katika misheni ya Umoja wa Mataifa nchini Sudani Kusini – UNMISS kwa maafisa wa Jeshi la Polisi wenye Sifa, Nafasi hizo ni
1.POLICE COMMISSIONER, D -2 ( 2024- UNMISS-82326- DPO). Kwa nafasi hii mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 Novemba, 2024.

2. POLICE CHIEF OF STAFF, P-5 ( 2024 – UNMISS – 82371- DPO) kwa nafasi hii
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07 Oktoba, 2024

3. SINIOR POLICE ADVISOR, P – 5 ( DPO – UNMIK – 35602 – 2023 ) kwa nafasi hii
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02 Septemba, 2024

Bofya hapa kupakua (<< https://polisi.go.tz/publications/>>)

Related news