Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamadi Massaun akimkabidhi zawadi ya Pikipiki Mkaguzi Kata ya Gambosi iliyopo Mkoani Simiyu Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Fransis Msuku kutokana na kufanya vizuri katika utendaji wake wa kazi. Makabidhiano hayo yamefanyika wakati waHafla ya ya Sifa na Zawadi iliyofanyika Jijini Dodoma ambapo pia amepandishwa cheo kuwa Mkaguzi wa Polisi. (Picha na Jeshi la Polisi)